Ilikuwa ni siku ya furaha sana kwangu kwakuhitimu digree yangu ya Sayansi ya Jamii (B.a In Sociology) katika chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) mlimani...Nawashukuru sana wote mliohudhuria katika tafrija fupi na company yenu ilinifanya nijisikie furaha isiyonakifani.
No comments:
Post a Comment