PASTOR MYAMBA FILMS

Friday, June 29, 2012

QUEEN SPEAR NI BALAA

 Hii ni Poster ya Queen Spear,iliyosheheni mastaa kibao..inatabiliwa kuwa ni filamu itakayofanya vizuri sana katika soko la filamu Tanzania..Usikose kununua inaingia madukani sio mda mrefu. Queen Spear itasambazwa na kampuni ya Bornagain Films Production..imeshootiwa na Sophia Records.



 Jackline Pentezel ambae ameonyesha uwezo wa hali ya juu sana kuibeba movie hii ya Queen Spear..



 Katika set ya shooting ya movie ya Queen Spear.



No comments:

Post a Comment