PASTOR MYAMBA FILMS

Tuesday, May 18, 2010


''Mwanawane Myamba degeree sio majoho hayo,Hayo hata mimi nawezashonesha tu, ishu ni kuweza kusota nakuvumilia mpaka kuweza kuhitimu..Pia niwashukuru wote waliokuwa wakwanza kwenye kuchukua msosi halafu kwenye kutoa zawadi hawakuonekana....'' Aliyasema hayo Emmanuel Mgaya (Masanja) wakati wa tafrija fupi ya Graduation ya Myamba.

No comments:

Post a Comment