Inanibidi nicheke maana huyu jamaa mwenye tishet white ndo Production Manager wa huyu wa pembeni mwenye tishet ya kahawia (kibakuli) ni Sound Person na wote wamezima hapa na production inaendelea sasa sijajua nani ameishikiria na kama inaendelea wakati wao wamelala sidhani kama ni sahihi...Je hatuhitaji semina kwa Crew za production?..
No comments:
Post a Comment