PASTOR MYAMBA FILMS

Tuesday, May 18, 2010

MONALISA


Kati ya wasanii ambao ukipangiwa kucheza nao unafurahia basi Monalisa ni mojawapo,kwanza anajua kushirikiana katika kukuchezesha na hivyo kufanya scene inakuwa hot..''huu ndio ukweli''..Na anakipaji chakushika script kwa dakika chache hata iwe dialogue ndefu kiasi gani huwa hakosei..na ni mbunifu mpaka anakufanya unaecheza nae ucheze kwa kiwango cha juu...Nitamtafuta ili atupe siri ya mafanikio yake kwa faida ya actress waliopo na wanaochipukia...Big up Monalisa.

No comments:

Post a Comment