Huyu ni Faridi Uwezo cameraman aliyeshut filamu ya PASTOR MYAMBA TEMPTATION pia alishut DANGER ZONE filam kali ya Rj Company iliyotingisha sokoni kwa mda mrefu sana..Kunakipindi alitaka kujiharibia kwakuwa mwongo mwongo ila baada yakumkanya amejirekebisha na sasa anakuja vizuri sana na nadhani baada ya mda mfupi atakuwa tishio kwa ma cameraman wa Tanzania.
No comments:
Post a Comment