PASTOR MYAMBA FILMS

Sunday, May 16, 2010


Huyu kijana wa kiume anaitwa Ally Yakuti ni kiungo muhimu sana katika film industry ya bongo kwani yeye ndie mwandishi wa scripts za filamu nyingi zile zinazotamba sana sokoni.Amekuwa akitumiwa kwa mda mrefu na kampuni ya Game 1st Quality na Rj na sasa ametia mguu wake Bornagain Films Production kuandika script ya series ya PASTOR MYAMBA mpaka sasa ameshaandika PASTOR MYAMBA TEMPTATION (ambayo imeshashutiwa tayari ), PASTOR MYAMBA REDEMPTION,PASTOR MYAMBA TRIAL na nyingine ambazo bado anaziandika.

Swali langu kwa wadau..Watu kama hawa huwa mnawakumbuka katika kuwapa credit?. msione tunafanya kazi nzuri watu kama hawa ndo wanatupa mwongozo..

Pembeni yake aliyeshika simu ni Mayasa Mrisho Makeup artist na pia ni msanii wa filamu.

5 comments:

  1. Mr Myamba Iam really happy to visit on your blog it so nice man, best of all Im so touched to hear that your a born gain christian that's great man , just leave your email address here so that I can keep in touch as your fan.

    Your fan
    SOUTH KOREA

    ReplyDelete
  2. Hey brother, am so greatfull to hear that u recognize other people's role in filim Industry especially those script writers,i have bn visiting kanumba and the greatest blogs several times i never heard such kind of thing, yaani utafikiri zile scripts wameziandika wao. Big sana buddy for ur recognition na kwa kumrusha huyo bro maana nilikuwa simfahamu kabisa, tupo pamoja sana.... kila la kheri na mungu aendelee kukubariki. Mdau

    ReplyDelete
  3. kaka mbona huleti vitu vipya au ndio umebanwa na kutengeneza filamu

    ReplyDelete
  4. GOD BLESS YOU PASTOR, JUST KEEP IT UP WE REALLY LOVE YOU.

    ReplyDelete