Huyu ni Aunt Ezekiel akiwa na chipukizi mkali katika filamu Elizabeth Domisian wakiwa katika set..Ilikuwa ni ngumu sana kuamini kama Aunt Ezekiel anaweza cheza filamu yakidini na kuweza kuimudu kwa kiwango cha juu kama alivyofanya katika filam ya PASTOR MYAMBA TEMPTATION..Hakika Aunt ni mkali katika filam..Elizabeth pia namwita ni chipukizi kwakuwa hii ni filam yake yakwanza kushiriki ila viwango vyake viko juu sana ukiangalia filam hii unaweza ukanipinga kuwa nisitumie tena jina hili la chipukizi.
Madume mashoga wanaitwa Aunt, sasa huyu Aunt Ezekeil ni Shoga (dume jike au)? ni mzuri sanaa kwa sura...sijajua mambo mengine kama makalio nk.
ReplyDeleteJina lake la kwanza ni Anti, la babaake ni Ezekiel. Kwa hiyo jina kamili ndio linakuwa Anti Ezekiel
ReplyDeleteMtoto jicho.... sasa kwa nini anaitwa Aunt? uncle = mjomba , Aunt = shangazi au? mashoga = Aunt... teheeeee teheeeeeeee
ReplyDelete