PASTOR MYAMBA FILMS

Friday, May 14, 2010




Filamu mpya kali inayokuja kwa jina la PASTOR MYAMBA TEMPTATION ambayo ni moja ya series za PASTOR MYAMBA inatarajia kuingia sokoni hivi karibuni ikishirikisha vinara wa filamu Tanzania akiwepo Aunt Ezekiel,Ally Yakuti,Mayasa Mrisho,Mzee Olotu,Bi Mwenda na wengine wengi..filam hii inatarajia kukonga mioyo ya washabiki wa PASTOR MYAMBA ambao walikuwa wakiisubiri series hii kwa hamu sana..

No comments:

Post a Comment