Haa!,sikujua kama Aunt Ezekiel anaimba kiasi hiki alituacha wote midomo wazi alipokuwa akishut scene hii katika filamu ya PASTOR MYAMBA TEMPTATION hata yeye mwenyewe alijishangaa sana kuona ameimba kwa kiwango cha juu sana, Hakika scene hii ameitendea haki sana,utakuja kukubaliana na mimi baada yakuitazama filamu yenyewe..
No comments:
Post a Comment