Mhh sijajua kama hii ni scene!!!,Na kama ni Scene alikuwa anaishut nani?,Maana wakike ni Aunt Ezekiel ambae ni msanii na wakiume ni Faridi ambae ni Cameraman...Anyway nisiongee sana ila hii yote ni ndani ya location ya filamu ya PASTOR MYAMBA TEMPTATION.
pastor hapo hata usiogope, hiyo ni burudani tu baada ya kazi nzito au unasemaje. ni mimi mdau wako. India
ReplyDelete