Huyu ni msanii ya zamani sana anaitwa Kibakuli na kipindi hicho alikuwa bonge sana,lakini kwa sasa amekuwa na umbo la utu uzima tena..na sasa ni sound man wa LANDLINE PRODUCTION yuko mbioni kurudi kwa kasi katika ulingo wa filamu..hatujui kama atakuwa na moto ule ule kama wa mwanzo au la..tunazisubiri kazi zake kwa hamu sana.
ubonge umeishaje na yule teacher wa ubungo kibangu yupo wapi? vipi kuhusu mercy je?
ReplyDelete