PASTOR MYAMBA FILMS

Tuesday, May 18, 2010


''Myamba tumetoka mbali sana ndugu yangu na tulipeana moyo sehemu mbalimbali katika kazi hata maisha na hatimaye leo unahitimu digree yako...Nimefurahi sana kaka na Mungu azidi kukubariki..'' ....hizo ni nasaha zilizomwagwa na msanii nguli wa filamu nchini tanzania STEVE KANUMBA

No comments:

Post a Comment