PASTOR MYAMBA FILMS

Wednesday, July 8, 2009

Emmanuel Myamba

Moja ya set ya filamu ya OUT OF LOVE msanii anayeonekana hapa ni Emmanuel Myamba na cameraman kutoka LANDLINE PRODUCTION kampuni inayofanya shoting ya filamu hii..akionyesha umahiri wake katika kumudu set wakati wa shooting..na ni mara nyingine ambapo utamuona Myamba kwa namna tofauti na ile ambayo amezoeleka kama Mchungaji sasa amekuja na namna ya kipekee zaidi..

2 comments:

  1. i am Balitremi i live in seattle Washington USA i would like to have you're phone numbe or your E-mail. My phone number is +12064348475 or E-mail is:niyonkuru35@gmail.com thanks have wonderfull day and night.

    ReplyDelete