PASTOR MYAMBA FILMS

Wednesday, July 8, 2009

Tea

Ndumbagwe Misayo (Tea) mshiriki wa filamu ya OUT OF LOVE... akiwa katika set... ukiangalia filamu hii ndipo utajua alistahili kabisa kupokea tuzo ya heshima aliyopewa na vinara awards mwaka jana 2008 kwani ameonyesha viwango vya juu katika filamu hii..anajituma katika kazi na ananidhamu sana katika sura yake inasadifu kile kiongelewacho..

No comments:

Post a Comment