OUT OF LOVE
BORNAGAIN FILM PRODUCTION na BONAFIDE FILM PRODUCTION inawaletea filamu kali ya kitanzania iitwayo OUT OF LOVE.. iliyoshirikisha wasanii maarufu wa kitanzania akiwepo Gelvas Kasiga, Emmanuel Myamba, Monalisa ,Tea ,Lihama, Natasha, Mkono na wengine wengi ambao kila mmoja ameonyesha uwezo wake katika kumudu uhusika wake..BLOG HII itakuletea picha na vipande vya filamu hii ya OUT OF LOVE..
naisubiri kwa hamu,,,,inaonekana ni mto wa kuotea mbali,,,big up!
ReplyDelete