Huyu ni Natasha msanii maarufu na mkongwe katika filamu na nimshiriki ya filamu ya OUT OF LOVE na licha yakuwa msanii maarufu sana lakini amekuwa na nidhamu ya hali ya juu ambayo ilimfanya afurahiwe na kila mtu, na walioweza kumwambia walimwambia na wengine walibaki kumsifia kwa kunong'ona, Ni msanii anaejituma na anaejua nini anafanya , kama wasanii wote tukiiga mfano wa Natasha basi baada ya mda mfupi tu sanaa ya Tanzania itakuwa mbali na itaheshimika ...
No comments:
Post a Comment