PASTOR MYAMBA FILMS

Saturday, July 11, 2009

Lihama Ally

lihama ni mmoja wa washiriki wa filamu ya OUT OF LOVE...ameonekana kuuvaa uhusika kupelekea kuwadatisha watu kibao wakati wa shooting akiwemo director Gelvas Kasiga, hatahivyo muongozi wa picha Bw.Wille kutoka LANDLINE PRODUCTION alionyesha pia kupagawishwa na uchezaji wa Lihama Ally...



No comments:

Post a Comment