PASTOR MYAMBA FILMS

Sunday, July 10, 2011

WOLPER AKWEA JUKWAA BILA TAARIFA.


Msanii wa filamu Jackline Wolper aliamua kukwea jukwaa ambalo mheshimiwa Rais wa Taff Simon Mwakifamba alikuwa akihutubia mbele ya wadau wa filamu Tanzania na viongozi wengi wa serikali,Uamuzi huo wa Wolper kukwea jukwaa ulifanyika ndani ya fahamu zake pekeyake japo haukuonyeshwa katika ratiba ya siku ile,hivyo naweza nikaita ni bonge la suprise...Bado sijajua lengo binafsi la Wolper kukwea jukwani hapo,yawezekana alikuwa anakitu chakutaka kutushirikisha tuliokuwepo pale,na alizuiliwa na watu wa usalama,yawezekana alifanya jambo sahihi lakini mda haukuwa sahihi na taratibu aliyotumia yawezekana haikuwa sahihi ndio maana alizuiliwa,yawezekana angatoa taarifa mapema kuwa atafanya hivyo nadhani angewekwa kwenye ratiba na angeitwa kwa heshima kubwa...
Mmmh nitarudi baadae kutoa maoni yangu binafsi.

No comments:

Post a Comment