PASTOR MYAMBA FILMS

Tuesday, May 10, 2011

HONGERA VINCENT KIGOSI (RAY)

Mda sio mrefu nimetoka kukata simu niliyokuwa nimempigia msanii maarufu wa filamu Vincent Kigosi Maarufu Ray..mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo:

Myamba  : vipi shegu?
Ray         : Poa shegu mambo yanaendaje?.
Myamba : Mambo poa
Ray         :Uko wapi sahivi Shegu?..
Myamba  :Niko home shegu.
Ray         :Leta mpya shegu
Myamba :Jipya ni hili,makava yote uliyatengeneza ila cover hili la HANDSOME WA KIJIJI uliumiza akili  na nisipokupa hongera nitakuwa sio muungwana kabisa...nimelipenda sana cover hili na HONGERA SANA.
Ray       :dah shegu nimefurahi kusikia hivyo asante sana shegu...........
              ........mazungumzo mengine yakaendelea.........

No comments:

Post a Comment