PASTOR MYAMBA FILMS

Monday, May 2, 2011

BORNAGAIN FILMS PRODUCTION YAKAMILISHA WIMBO WA KOKO WA MZEE KING KIKII

Baada ya kampuni ya BORNAGAIN FILMS PRODUCTION kufanya vizuri katika kutengeneza video ya wimbo wa mzee king kikii alioimba maalumu kwaajili ya kuipongezaTakukuru na pia kumpongeza Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Jakaya Mrisho kikwete,Sasa imekamilisha kutengeneza video ya wimbo wa koko wa mzee King kikii,ikiwa ni katika harakati zakutengeneza album nzima ya mzee King kikii..

No comments:

Post a Comment