PASTOR MYAMBA FILMS

Friday, December 3, 2010

PACHO MWAMBA AAMUA KUJIKITA NA FILAMU..

Mwimbaji maarufu wa bendi ya FM Academia,aamua kujikita kwenye filamu,na ameonyesha uwezo wake mkubwa sana katika kuimudu sanaa ya uigizaji..Hasa baada yakufanya vizuri sana katika filamu ya THIS IS IT na UNCLE JJ na sasa ameonyesha umwamba wake kwenye filamu ya PROMISE OF PAIN..

No comments:

Post a Comment