BORNAGAIN FILMS YAMSAKA MASHAKA
Msanii wa filamu aliyewika ipasavyo katika vipindi ya Runinga vya kaole sanaa group MZEE MASHAKA ana kwa ana na mimi mnamo jana majira ya jioni,na alalamikia kwakutothaminiwa na wasanii wakongwe wenzake ambao wapo hot kwa sasa.."Nasikitika sana kwa kudharauliwa kwani najijua mimi ni mkali " alisema MZEE MASHAKA tulipokutana nae jana."kunamapungufu mengi sana katika sanaa japo wadau hawataki kukutana na kuyatatua mapungu hayo"..alisema mashaka japo hakuyataja hayo mapungufu anayoyaona katika sanaa ya Tanzania.
No comments:
Post a Comment