Huyu ni mtoto aliekamatwa na Degedege mbaya akiwa kanisani na mama yake alishituka kuona mwanae anakakamaa na kumkimbiza madhabahuni huku mtoto akiwa ameshageuza macho nakumtupa mikononi kwa mtumishi wa Mungu,Na Mungu ni mwaminifu akamponya maramoja..hakika yeyote alieona kitendo kile imani yake iliongezeka kwa kiwango cha juu sana..
No comments:
Post a Comment