PASTOR MYAMBA FILMS

Monday, April 11, 2011

PASTOR MYAMBA TRIAL iko tayari...

Myamba na Mzee Chilo,kwenye set ya filamu ya PASTOR MYAMBA TRIAL

On set!!

Wakati shuting ikiendelea
katika poooz
Baada ya kazi nziiiito
Was waaaooohhh!!!
Wonderful job!!
Crue ya Pilipili intertainment iliyoshut filamu Pastor Myamba pamoja na wasanii wakifurahia kumalizika kwa filamu ya PASTOR MYAMBA TRIAL
                           
Hivi ndivyo shuting ilivyoisha,na Novatus Mayenja aliyevalia nyekundu ndiye Production manager wa filamu ya PASTOR MYAMBA TRIAL na ndie Manager wa BORNAGAIN FILMS PRODUCTION.


                                                        
Camera man Deo katikati na pembeni kulia Fety na Silvee upande wa kushoto

No comments:

Post a Comment