UNCLE JJ YAKIMBIZA SOKONI KAMA KAWAIDA
Filamu ya nguli wa filamu Steve Kanumba yakimbiza sokoni ipasavyo..na hawa watoto ni balaa,watu wakiri kuwa ujumbe uliopo ni mkubwa sana kuliko filamu nyingine zilizozoeleka..Jipatie nakala yako uone hawa watu walivyokuwa na njaa mbaya katika makamuzi..Jenifer kama kawaida yake anaendelea kugawa dozi wakati Kanumba akipiga comed yakufa mtu..
No comments:
Post a Comment