PASTOR MYAMBA FILMS

Saturday, December 4, 2010

Aki na Ukwa wa Tanzania wakiwa katika poz baada tu yakutoka katika mazoezi ya filamu yao ambayo wanatarajia kuitoa hivi karibuni chini ya BORNAGAIN FILMS na wamejiandaa vyakutosha kuleta vitu vipya kabisa katika ulimwengu huu ya filamu Tanzania.

1 comment:

  1. huyo ni a gal au a boy? mwny white tshirt?

    ReplyDelete