PASTOR MYAMBA FILMS

Monday, November 15, 2010


Tino akomaa na filamu yake ya kishoga,adai anataka kuelimisha jamii kwa kutoka tofauti na alivyozoeleka..ametoka kama unavyomwona hapa kwenye picha..

1 comment:

  1. mnh! hapa utata mtupu! mana hata hiyo movie sijui itakua inafundisha nini!? mana kama ni ushoga bongo haukubaliki! mtumishi hukutakiwa kabisa kuwepo!

    ReplyDelete