PASTOR MYAMBA FILMS

Saturday, November 13, 2010

RACHEL ARUDI KATIKA GAME...


Msanii wa filamu aliyepotea kwa kipingi kirefu baada yakukimbiza ipasavyo katika michezo ya runinga katika kikundi cha sanaa cha KAOLE,RACHEL atangaza nia yakurudi tena katika ulingo wa filamu baada yakucheza filamu ya JOHARI NJIA PANDA miaka ilee...Alaumu wasanii wenzake wa kaole kutokumpa ushirikiano anapowahitaji,ila aahidi kuwafunika vibaya katika filamu yake mpya ya THE PROMISE OF PAIN ambayo inatarajia kuingia sokoni sio mda mrefu.

No comments:

Post a Comment