PASTOR MYAMBA FILMS

Wednesday, May 19, 2010

KANUMBA NA THIS IS IT


Filamu ya kwanza ya Kanumba nje ya kampuni ya Game 1st Quality ikienda kwa jina la THIS IS IT yawa gumzo...imeingia sokoni wiki hii chini ya steps intertainment, Wasambazaji wakiri kuwa na mauzo ya juu..Mashabiki wawasifia watoto kuwa wamefunika ile mbaya!.

2 comments:

  1. Aisee kwanza hongera sana Pastor kwa blog yako na kwa movie zako unacheza vizuri mm nakuadmire sana kaka yangu. na hii movie ya THIS IS IT umekamua ile mbaya, pale ulipokuwa unafanya maombi then Kanumba akakimbia nje nilicheka sana tu daah keep it up my dia brother, na kuhusu movie hii nampa hongera Kanumba kwani ni nzuri nimeipenda sana watoto wamejitahidi sana kuicheza ni nzuri I like it! nasubiri nyingine kwa hamu hiyo ya Temptation. otherwise nikutakie kazi njema na Mungu wangu na Akubariki.

    Furaha
    Mabibo Engo - DSM

    ReplyDelete
  2. kazi yako ni njema keep it up

    ReplyDelete